Haber Giriş:
Ladha na Mapishi katika Kasri ya Mfalme

Mapishi wakati wa Ottoman
Katika kipindi cha leo tutaitazama Gaziantep, mji mkuu wa gastronomy.Mji wenye thamani nyingi kisha tutapitia ladha za kasri sote kwa pamoja.
Mahitaji:
Kitunguu kikubwa
Pilipili 2 kijani
Pilipili 2 nyekundu
Glasi 1 ya bulgur
Kikombe 1 cha njugu za kuchemsha
Glasi 1 ya firik
Kijiko 1 cha pilipili ya kusaga
Vijiko 3 vya siagi
Kikombe 1 cha mafuta ya zaituni
Chumvi
Pilipili manga
...
-
25.02.2021
-
25.02.2021
-
25.02.2021