Haber Giriş:
Kisanduku cha pili cha ndege iliyoanguka Indonesia chapatikana

Timu ya utafutaji yatangaza kupata kisanduku cha pili cha mawasiliano cha ndege iliyofanya ajali Indonesia
Shughuli ya utafutaji bado inaendelea katika eneo la ajali ya ndege ya abiria iliyoanguka baharini muda mfupi baada ya kuruka siku ya Jumamosi nchini Indonesia.
Baada ya kisanduku cheusi (kisanduku cha mawasiliano ya ndege) kupatikana katika utaftaji uliofanyika hapo jana, taarifa muhimu zinatarajiwa kupatikana kutoka kwenye vifaa hiyvo viwili na kusaidia kugundua chanzo cha kuanguka kwa nde...
-
23.01.2021
-
23.01.2021
-
23.01.2021