Haber Giriş:
Katibu Mkuu wa UN apigwa chanjo ya corona

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres amepewa chanjo dhidi ya corona.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres amepewa chanjo dhidi ya corona.
Gutteres ambayae alikidhi vigezo vya wale wenye miaka 65 na zaidi mjini New York, amepewa chanjo hiyo ili kuonyesha kuwa ni bora na salama.
Guterres, alirusha ujumbe kwenye akaunti yake ya Twitter, na kusema,
"Leo, nina bahati na ninashukuru kuwa nimepatiwa awamu ya kwanza ya chanjo.Tunahitaji kuhakik...
-
02.03.2021
-
02.03.2021
-
02.03.2021