Haber Giriş:
Kambi za kijeshi zashambuliwa Somalia

Kundi la kigaidi la Al-Shabaab lashambulia kambi mbili za kijeshi nchini Somalia
Kundi la kigaidi la Al-Shabaab limetekeleza mashambulizi kwenye kambi mbili za kijeshi nchini Somalia.
Hadi kufikia sasa hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na kuthibitisha iwapo kumekuwa na vifo au majeruhi katika mashambulizi hayo yaliyotekelezwa takriban kilomita 100 kusini magharibi mwa mji mkuu Mogadishu.
Kundi la kigaidi la Al-Shabaab liliwahi kufanya mashambulizi katika mji mkuu wa M...
-
17.04.2021
-
17.04.2021
-
16.04.2021
-
16.04.2021