Haber Giriş:
Kamanda wa vikosi vya Haftar auawa Libya

Kiongozi mmoja wa wanamgambo wa vikosi vya Haftar afariki kwenye shambulizi la mauaji Benghazi Libya
Mahmoud al-Warfalli, kamanda wa wanamgambo wa Haftar, ambaye agizo la kukamatwa kwake lilitolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) nchini Libya kwa uhalifu wa vita, amepoteza maisha kutokana na shambulizi la mauaji lililomkumba Benghazi.
Kulingana na ripoti katika vyombo vya habari vya Libya, Warfalli alishambuliwa kwa bunduki karibu na Chuo Kikuu cha Matibabu cha Kiarabu katika mji ...
-
16.04.2021
-
16.04.2021
-
16.04.2021