Haber Giriş:
Jukumu muhimu kwa Uturuki ndani ya NATO

Uturuki kupewa mamlaka ya kusimamia kikosi cha VJTF cha muungano wa NATO
Uturuki inatarajiwa kuchukuwa mamlaka ya Kikosi cha Pamoja cha Maandalizi ya Juu ya NATO (VJTF) kuanzia tarehe 1 Januari 2021.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na NATO, Uturuki itachukuwa mamlaka ya kikosi hicho kutoka kwa Poland na kukisimamia kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Kikosi hicho cha VJTF, ambacho ni sehemu ya Kikosi cha NATO, kinajumuisha wanajeshi takriban 4,200 chini ya Amri ya ...
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021