Haber Giriş:
Jeshi la Yemen lakomboa baadhi ya maeneo

Wanamgambo 16 wa Houthis wauawa na jeshi la Yemen kwenye mapigano
Jeshi la Yemen limetangaza maendeleo yake dhidi ya Houthis wanaoungwa mkono na Iran na kuuawa kwa wanamgambo 16 kwenye operesheni inayoendeshwa katika jimbo la Marib.
Tovuti ya kijeshi "september.net" ilichapisha taarifa juu ya mapigano na wanamgambo wa Houthis katika mkoa wa mashariki wa Marib.
Ilitangazwa kuwa baadhi ya ngome za udhibiti zilikombolewa na wanamgambo 16 waliuawa kwenye ma...
-
01.03.2021
-
01.03.2021
-
01.03.2021
-
28.02.2021