Haber Giriş:
Je wajua

Ngano bora zaidi ulimwenguni
Je! Unajua kwamba "ngano ya einkorn"( ngano punje moja) , ambayo inakubaliwa kama ngano bora zaidi leo, ilipandwa Kusini mashariki mwa Anatolia miaka elfu 10 iliyopita?
Ngano hii, ambayo inasemekana kulimwa miaka elfu 12 iliyopita kulingana na baadhi ya vyanzo na miaka elfu 10 iliyopita kulingana na vyanzo vingine, inachukuliwa kama ngano bora zaidi ya kisasa tunayotumia leo. Ngano hii ambay...
-
26.02.2021
-
26.02.2021