Haber Giriş:
Je Biden ataweza kuuzima moto wa Trump Marekani?

Kuanzia Januari 20, Joe Biden alichukua madaraka kama Rais wa 46 wa Marekani
Kuanzia Januari 20, Joe Biden alichukua madaraka kama Rais wa 46 wa USA. Biden aliandika historia kama mgombea wa kidemokrasia ambaye alichaguliwa kuwa rais kwa kupata kura nyingi zaidi katika miaka 70 iliyopita.
Kipindi cha Novemba hadi Januari kilikuwa cha migogoro, kama ilivyotabiriwa. Kulikuwa na matarajio kwamba Trump hangekabidhi urais kwa amani, na hakuna mtu yeyote anliyeweza ku...
-
05.03.2021
-
05.03.2021
-
05.03.2021
-
05.03.2021