Haber Giriş:
Idadi ya vifo kwenye mkasa wa moto yaongezeka Bangladesh
Watu 28 wafariki, zaidi ya 40 wajeruhiwa kwenye mkasa wa moto uliozuka katika kambi ya wakimbizi wa Kiislamu wa Arakan
Idadi ya vifo katika mkasa wa moto uliozuka kwenye kambi ya wakimbizi wa Kiislamu wa Arakan nchini Bangladesh iliongezeka hadi 28, na zaidi ya watu 40 waliripotiwa kujeruhiwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Haki za Kibinadamu wa Burma (BHRN) Kyaw Win alibaini kuwa takriban makazi 15,000 yaliharibiwa kwa moto, na watu wasiopungua 28 walifariki huku zaidi ya 40 wakijeruhiwa.
Mwakilishi w...
-
14.04.2021
-
14.04.2021
-
14.04.2021