Haber Giriş:
Hali ya afya ya Mahmud Abbas
Rais wa Palestina Mahmud Abbas atangazwa kuwa katika hali nzuri kiafya baada ya kufanyiwa uchunguzi Ujerumani
Rais wa Palestina Mahmud Abbas, ambaye amepitia uchunguzi wa kimatibabu nchini Ujerumani, amearifiwa kuwa yuko katika hali nzuri kiafya.
Kulingana na ripoti ya shirika rasmi la Palestina la WAFA, uchunguzi wa kimatibabu wa Rais Abbas uliokuwa ukifanyika nchini Ujerumani umekamilika.
Ilielezwa kuwa hakugundulika matatizo kwenye matokeo na Abbas alikuwa na afya njema. Maelezo zaidi yalibai...
-
17.04.2021
-
17.04.2021
-
16.04.2021
-
16.04.2021