Haber Giriş:
Goli la kipa laingia kwenye Guiness Book of Records

Kipa Tom King avunja rekodi kwa ufungaji wa goli kutoka masafa ya mbali zaidi kwenye mechi rasmi ya soka
Kipa wa timu ya England Newport County , Tom King, amevunja rekodi kwa ufungaji wa goli kutoka masafa ya mbali zaidi kwenye mechi rasmi ya soka.
Timu ya Newport County ilitangaza kwamba King aliweza kufunga goli kwa mkwaju kuelekea nyavu za timu pinzani kutoka umbali wa mita 96.01 na kuingia kwenye Kitabu cha Guinness Book of Records.
Tom King alifunga bao ambalo liliifanya timu yake iong...
-
26.02.2021
-
26.02.2021