Haber Giriş:
Gitaa la Elvis Presley lauzwa dola 500,000

Gitaa la mwimbaji maarufu wa muziki wa Rock’n Roll wa Kimarekani Elvis Presley lanunuliwa kwa fedha dola 500,000
Gitaa lenye muundo wa Uswidi la mwimbaji maarufu na mfalme wa muziki wa Rock’n Roll wa Kimarekani Elvis Presley, limeuzwa kwa fedha dola 500,000.
Gitaa la Elvis Presley, ambalo liliuzwa kwa fedha dola 29,375 katika mnada uliofanyika Marekani (USA) mnamo mwaka 2003, lilipata mnunuzi wa fedha dola 500,000 katika mnada uliofanyika jana.
Jina la mnunuzi wa gitaa hilo halikudhihirishwa kwa um...
-
10.04.2021
-
10.04.2021
-
10.04.2021
-
10.04.2021