Haber Giriş:
Gaga na Lopez kutumbuiza katika sherehe za kuapishwa kwa Biden

Lady Gaga na Jennifer Lopez watatumbuiza kwenye sherehe ya kuapishwa kwa Joe Biden
Lady Gaga na Jennifer Lopez watatumbuiza kwenye sherehe ya kuapishwa kwa Joe Biden, ambaye alichaguliwa kuwa rais wa Marekani itakayofanyika mnamo Januari 20.
Jennifer Lopez atatumbuiza kwenye sherehe hiyo ambapo Lady Gaga ataimba wimbo wa taifa wa Marekani.
Sherehe ya kiapo itafanyika na ushiriki wa idadi ndogo ya watu baada ya janga la corona na uvamizi wa Bunge la Marekani mnamo Januar...
-
26.02.2021
-
26.02.2021