Haber Giriş:
Fuat Oktay nchini Niger

Makamu wa Rais Fuat Oktay amekwenda Niger
Makamu wa Rais Fuat Oktay amekwenda Niger kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Mohamed Bazoum, Rais mpya wa nchi hiyo.
Fuat Oktay alikaribishwa na Waziri Mkuu wa Niger Brigi Rafini na wawakilishi wake katika uwanja wa ndege.
Makamu wa Rais Oktay amefanya na mkutano wa ana kwa ana na Waziri Mkuu Rafini.
Oktay atafanya mazungumzo baina ya nchi mbili baada ya hafla ya kiapo itakayofanyika ...
-
11.04.2021
-
11.04.2021
-
11.04.2021