Haber Giriş:
Fenerbahçe Beko yapata ushindi wa 19 kwenye Ligi ya Ulaya

Fenerbahçe Beko yaishinda Olympiakos 76-71 kwenye mechi ya Ligi ya Ulaya ya Turkish Airlines
Wiki ya 31 ya Ligi ya Mpira wa Kikapu barani Ulaya ya Turkish Airlines (THY) iliwakutanisha Fenerbahçe Beko na Olympiakos.
Timu ya Fenerbahçe Beko ilisafiri ugenini na kurudi na ushindi wa 76-71 dhidi ya wawakilishi wa Ugiriki Olympiakos.
Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye ukumbi wa michezo wa mji mkuu wa Athenes, timu ya Fenerbahçe Beko ilianza vyema na kumaliza robo ya kwanza na poin...
-
14.04.2021
-
13.04.2021
-
13.04.2021