Haber Giriş:
Facebook yaifunga akaunti ya Maduro

Akauti ya Facebook ya Rais wa Venezuela yafungwa kwa madai ya taarifa za uwongo kuhusu dawa ya Covid-19
Jukwaa la mtando wa kijamii la Facebook limeizuia akaunti ya Rais wa Venezuela Nicolas Maduro kwa kueneza taarifa za uwongo kuhusu janga la corona (Covid-19).
Kulingana na Faebook, Maduro alikiuka sera za Facebook kwa kukuza utumiaji wa dawa inayoitwa Carvativir, ambayo inadaiwa kuwa nzuri na inafaa dhidi ya Covid-19.
Facebook, ambayo iliondoa video ya Maduro iliyokuwa ikitangaza dawa hiy...
-
15.04.2021
-
15.04.2021