Haber Giriş:
EU kununua dozi milioni 300 zaidi za chanjo

Jumuiya ya Ulaya (EU) yatangaza mpango wa kununua dozi milioni 300 zaidi za chanjo ya BioNTech na Pfizer
Jumuiya ya Ulaya (EU) itapokea dozi milioni 300 zaidi ya chanjo dhidi ya corona (Covid-19) iliyotengenezwa na BioNTech na Pfizer.
Mwenyekiti wa Tume ya EU Ursula von der Leyen, alifanya mkutano na waandishi wa habari katika mji mkuu wa Brussels nchini Ubelgiji na kuzungumzia juu ya mikakati ya chanjo.
Akikumbushia kwamba hapo awali EU ilisaini mkataba na BioNTech kwa ajili ya ununuzi wa d...
-
15.01.2021