Haber Giriş:
Ethiopia kuondoa wanajeshi mpakani mwa Sudan
Serikali ya Ethiopia yataka kuondoa wanajeshi wake mpakani baada ya madai ya uvamizi wa ardhi ya Sudan
Ethiopia inataka iondoe wanajeshi wake kutoka nchi ya Sudan ambayo ilidai kuvamiwa ardhi za mpaka wake.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia Dina Mufti, alizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa wiki na kusema kwamba nchi yake imeazimia kutatua suala la mipaka kwa amani.
Akitoa wito kwa Sudan kwamba watazingatia hali hiyo kabla ya Desemba 2020 na kuondoa wanajeshi kuto...
-
02.03.2021
-
02.03.2021
-
02.03.2021
-
02.03.2021