Haber Giriş:
Erdoğan azungumza na nahodha wa meli iliyoshambuliwa

Rais Erdoğan afanya mawasiliano na nahodha wa meli iliyovamiwa na maharamia wa Nigeria
Rais Recep Tayyip Erdoğan alifanya mawasiliano kwa njia ya simu na Furkan Yaren ambaye ni mmoja wa manahodha wa meli iliyoshambuliwa na maharamia wa Nigeria.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Idara ya Mawasiliano ya Rais, Erdoğan, ambaye alifuatilia kwa karibu maendeleo yote juu ya suala hilo, alipokea taarifa juu ya hali ya afya ya wafanyikazi 3 ambao walinusurika kwenye shambulizi la me...
-
02.03.2021
-
02.03.2021
-
02.03.2021
-
02.03.2021