Haber Giriş:
Erdoğan akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa China

Rais Recep Tayyip Erdoğan ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi kwenye makao makuu ya Ankara
Rais Recep Tayyip Erdoğan alimpokea Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China aliwasili mji mkuu wa Ankara hapo jana jioni ndani ya wigo wa ziara za kikanda zinazojumuisha nchi 6.
Wang Yi alipokelewa na kukaribishwa Rais Erdoğan leo hii katika makao makuu ya Rais.
Waziri wa Mambo ya nje Mevlüt Çavuşoğlu pia alifanya mkutano wa ana kwa ana na wajumbe kat...
-
17.04.2021
-
17.04.2021
-
17.04.2021
-
17.04.2021
-
17.04.2021