Haber Giriş:
Elon Musk awa tajiri wa kwanza Ulimwenguni

Mtengenezaji wa gari la umeme Tesla na Meneja Mwandamizi wa SpaceX Elon Musk amekua mtu tajiri zaidi ulimwengun
Mtengenezaji wa gari la umeme Tesla na Meneja Mwandamizi wa SpaceX Elon Musk amekua mtu tajiri zaidi ulimwenguni akiwa na utajiri wa $ 188.5 bilioni.
Kuongezeka kwa hisa za Tesla kwa zaidi ya asilimia 5 hapo jana kulimfanya mmiliki wa kampuni hiyo Elon Musk kupanda hadi nafasi ya kwanza kati ya watu matajiri 500 ulimwenguni.
Kulingana na maelezo ya Mabilionea wa Bloomberg, Musk ndiye anay...
-
15.01.2021