Haber Giriş:
China yazungumzia makubaliano ya nyuklia ya Iran

China imesema kuwa kuondoa kwa vikwazo dhidi ya Iran ni jambo muhimu
China imesema kuwa kuondoa kwa vikwazo dhidi ya Iran ni jambo muhimu.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya China Wang Vınbin, katika mkutano wake wa kawaida na waandishi wa habari huko Beijing, amesema kuwa suala la nyuklia la Iran liko katika wakati mbaya.
Vang, aliongeza kwa kusema,
"China inadhani kurudi kwa Marekani katika makubaliano ya nyuklia na kuondoa vikwazo dhidi ya Iran ni...
-
16.04.2021
-
16.04.2021
-
15.04.2021