Haber Giriş:
China yapinga mazungumzo ya Marekani na Taiwan
Serikali ya China yatangaza kupinga kuanzishwa kwa mazungumzo kati ya Marekani na Taiwan
China imetangaza kupinga kuanzishwa kwa mazungumzo ya kijeshi kati ya Marekani na Taiwan, na kwamba itatoa jibu linalostahili kulingana na hali itakavyojiri.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying, alizungumza na wanahabari katika mji mkuu wa Beijing na kufanya tathmini juu ya mkutano uliopangwa kufanywa kwa njia ya video kati ya Taiwan na Marekani kujadili uamuzi wa kuanzis...
-
21.01.2021
-
21.01.2021
-
21.01.2021