Haber Giriş:
China: ''Covid-19 haikutokea kwenye maabara''

China yatangaza kwamba hakuna uwezekano wa virusi vya corona vilivujishwa kutoka kwenye maabara
China imetangaza kwamba hakuna uwezekano wowote kuwa virusi vya corona (Covid-19) vilivujishwa kutoka kwenye maabara.
Maafisa wa China walitoa taarifa katika mkutano uliohudhuriwa na wawakilishi wa nchi 50 kuhusu utafiti unaoendelea kabla ya ripoti rasmi inayotarajiwa kutangazwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) juu ya chanzo cha Covid-19.
Akielezea kuwa inakadiriwa virusi viliambukizw...
-
16.04.2021
-
16.04.2021
-
16.04.2021
-
16.04.2021