Haber Giriş:
Chanjo ya AstraZeneca yaidhinishwa kwa matumizi ya dharura

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limetangaza kuwa chanjo dhidi ya corona (Kovid-19) iliyotengenezwa na AstraZeneca imeidhinishwa
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limetangaza kuwa chanjo dhidi ya corona (Kovid-19) iliyotengenezwa na AstraZeneca imeidhinishwa kwa matumizi ya dharura.
Mkurugenzi Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus alizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari na kusema,
"Sasa tuna vigezo vyote vinavyohitajika kwa utoaji wa chanjo haraka, lakini bado tunahitaji kuongeza uzalishaji."
Akikumbu...
-
04.03.2021