Haber Giriş:
Chanjo ni lazima kwa hija mwaka huu

Sharti jipya kwa wale watakaohiji mwaka huu
Saudi Arabia imetangaza kuwa ni sharti la msingi kupigwa chanjo dhidi ya corona kwa ajili ya kufanya hija mwaka huu.
Kulingana na gazeti la Ukaz, maafisa katika wizara ya Waziri wa Afya Tawfig Al-Rabiah wamesema kwamba ni lazima kuwa umepigwa chanjo ya Covid-19 kwa wale ambao wanataka kushiriki katika hija, na kwamba hii ni moja ya masharti ya kushiriki hija mwaka huu nchini Saudi Arabia.
...-
20.04.2021
-
20.04.2021
-
20.04.2021