Haber Giriş:
Çavuşoğlu azungumza na Lavrov

Waziri wa Mambo ya nje Mevlüt Çavuşoğlu amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Urusi, Sergey Lavrov.
Waziri wa Mambo ya nje Mevlüt Çavuşoğlu amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Urusi, Sergey Lavrov.
Kulingana na Vyanzo vya kidiplomasia, Çavuşoğlu na Lavrov walizungumza kuhusu yaliyojadiliwa na Rais Recep Tayyip Erdoğan na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika mazungumzo ya simu jana.
Kulingana na taarifa kutoka kwa Ofisi ya Rais, mazungumzo yaligusia Uhusiano wa Uturuki na Urus...
-
26.02.2021
-
26.02.2021