Haber Giriş:
Çavuşoğlu apokewa na Rais Milanovic nchini Croatia

Waziri wa Mambo ya Nje Mevlüt Çavuşoğlu akutana na viongozi wa serikali kwenye ziara yake ya Croatia
Waziri wa Mambo ya Nje Mevlüt Çavuşoğlu, alipokewa na Rais Zoran Milanovic nchini Croatia hapo jana, alipotekeleza ziara kwa ajili ya kufanya mazungumzo rasmi.
Waziri Çavuşoğlu alisema kwamba alikuwa amekutana na Rais Milanovic, Waziri Mkuu Andrej Plenkovic na Mwenyekiti wa Bunge la Croatia Gordan Jandrokovic katika maelezo aliyotoa kwenye akaunti yake ya Twitter.
Akibainisha kuwa Rai...
-
18.04.2021
-
18.04.2021
-
18.04.2021
-
17.04.2021
-
17.04.2021