Haber Giriş:
Çavuşoğlu ampokea balozi wa Ugiriki mjini Ankara

Waziri wa Mambo ya Nje Mevlüt Çavuşoğlu akutana na Balozi wa Ugiriki mjini Ankara, Michael-Christos Diamessis
Waziri wa Mambo ya Nje Mevlüt Çavuşoğlu alimpokea Balozi wa Ugiriki mjini Ankara, Michael-Christos Diamessis.
Kupitia ujumbe wake aliochapisha kwenye akaunti yake ya Twitter, Çavuşoğlu alitoa taarifa juu ya mkutano huo uliofanyika katika mji mkuu wa Ankara.
Waziri Çavuşoğlu alisema,
"Tulimpokea Balozi wa Ugiriki mjini Ankara Michael-Christos Diamessis kabla ya ziara ya Waziri wa ...
-
13.04.2021
-
13.04.2021
-
13.04.2021