Haber Giriş:
Çavuşoğlu akutana na Rashid Dostum mjini Ankara

Waziri wa Mambo ya Nje Mevlüt Çavuşoğlu akutana na Makamu wa Rais wa zamani wa Afghanistan Marshal Rashid Dostum
Waziri wa Mambo ya Nje Mevlüt Çavuşoğlu, alikutana na aliyekuwa Makamu wa Rais wa Afghanistan, Marshal Rashid Dostum, ambaye alizuru mji mkuu wa Ankara.
Kulingana na habari iliyotolewa kutoka vyanzo vya kidiplomasia, Çavuşoğlu na Dostum walikutana katika Wizara ya Mambo ya Nje.
Katika taarifa yake aliyoichapisha kwenye akaunti ya Twitter kuhusu mkutano huo, Çavuşoğlu alisema kuwa yeye...
-
11.04.2021
-
11.04.2021
-
10.04.2021
-
10.04.2021