Haber Giriş:
Biden ahimiza ilani ya dharura kutokana hali mbaya ya hewa

Hali ya dharura kwenye jimbo la Texas kutokana na baridi kali iliyosababisha vifo nchini Marekani
Rais wa Marekani Joe Biden, alisema kuwa wako tayari kwa tamko la ilani ya dharura ambalo litafungua njia ya ufadhili zaidi wa serikali kusaidia jimbo la Texas, ambalo linaathiriwa vibaya na ukataji wa umeme unaosababishwa na baridi kali.
Biden aliongeza kuwa atazuru jimbo la Texas kwa sharti kwamba misaada haitozuiwa.
Msemaji wa Ikulu ya White House Jen Psaki pia alithibitisha ombi la Bi...
-
25.02.2021
-
25.02.2021
-
24.02.2021