Haber Giriş:
Biden afanya mkutano wa kwanza na baraza la mawaziri

Mkutano wa kwanza wa Rais Biden na baraza la mawaziri wafanyika nchini Marekani
Rais wa Marekani (USA) Joe Biden, amefanya mkutano wake wa kwanza wa baraza la mawaziri katika Ikulu ya White House chini ya hatua za tahadhari dhidi ya corona (Covid-19).
Biden, ambaye alichukua kiti cha urais Januari 20, alitoa hotuba fupi kwa waandishi wa habari kabla ya mkutano wa kwanza wa baraza la mawaziri kufanyika Ikulu.
Akisisitiza kuwa baraza lake la mawaziri ndilo baraza la ki...
-
17.04.2021
-
17.04.2021
-
16.04.2021
-
16.04.2021