Haber Giriş:
Barua kuhusu uchaguzi mkuu wa Libya kwa UN

Waziri Mkuu wa Libya Fayez al-Serraj atuma barua kwa UN kuhusu uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika
Waziri Mkuu wa Libya Fayez al-Serraj alitoa wito kwa Umoja wa Mataifa (UN) na Baraza la Usalama kuunga mkono masuala yote ya kufanya uchaguzi nchini humo.
Serraj alituma barua kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na kwa Mwakilishi wa Kudumu wa UN nchini Tunisia Tariq al-Adab, ambaye pia ni mwenyekiti wa kikao cha Baraza la Usalama.
Barua hiyo iliyotumwa ilijumuisha ujumb...
-
04.03.2021