Haber Giriş:
Baa la njaa lakithiri Yemen

Umoja wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa watu milioni 13.5 nchini Yemen wako katika hatari ya kufa njaa.
Umoja wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa watu milioni 13.5 nchini Yemen wako katika hatari ya kufa njaa.
Msemaji wa Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) Vanessa Huguenin amesema kuwa mzozo wa kibinadamu nchini Yemen unaendelea kuwa mbaya zaidi duniani,
"Utapiamlo haujawahi kuwa mbaya hivi. Wayemen 'hawashindi njaa, wanakufa njaa. Watu milioni 13.5 nchini Yemen...
-
18.01.2021
-
18.01.2021
-
18.01.2021
-
18.01.2021
-
18.01.2021