Haber Giriş:
Australia Open kuruhusu watazamaji 30,000

Watazamaji elfu 30 pekee watakubaliwa kila siku kwenye Mashindano ya Australia Open msimu huu
Watazamaji elfu 30 pekee watakubaliwa kila siku kwenye Mashindano ya Australia Open, ambayo ni Grand Slam ya kwanza ya msimu wa tenisi.
Katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Michezo ya Jimbo la Victoria ambapo mashindano hayo yatafanyika, ilielezwa kuwa watazamaji elfu 30 ndio watakaoweza kuhudhuria mechi kila siku katika kipindi cha siku 8 za kwanza za mashindano.
Pia ilielezwa kwamba ...
-
07.03.2021
-
07.03.2021
-
06.03.2021
-
06.03.2021